Maranatha Media Kenya
Mwandishi Adrian Ebens
Iliyochapishwa Mac 29, 2022
Vya kupakuliwa 296

Lugha Zingine

Afrikaans български език English Français Deutsch 國語 Português Română Español

Ni hatua gani zinazohusika ili kupata upatano kamili na Mungu?

Je, Mungu anataka damu imwagike kabla ya kutusamehe? 

Je, Mungu alisababisha Mwanawe auliwe ili kulipa deni letu la dhambi? 

 Kwa nini Yesu alijilinganisha na kuinuliwa kama nyoka wa shaba? 

 Je, kuna umuhimu gani wa Musa kuupiga Mwamba pale alipoamriwa kuusemesha? 

Ikiwa wanadamu walichukuliwa mateka na Shetani, ni nani anayeweka bei ya fidia ili tuachiliwe?

 Je, Ubadilishaji wa Adhabu unahitajika kwa ajili ya Wokovu?

 Je, kifo cha Msalaba ni Upatanisho mbadala kwa ajili ya dhambi zetu? 

 Je, makanisa ya Kikristo yanafundisha ukweli kamili wa Upatanisho?