Maranatha Media Kenya
Mwandishi Ray Foucher
Iliyochapishwa Sep 13, 2022
Vya kupakuliwa 281

Lugha Zingine

Cebuan Čeština English bahasa Indonesia Español

 

Kwa wasomaji wa Bibilia hasa kuhusu ziwa la moto la Ufunuo, somo hili litakuwa ni tiba. Kwanini? Kwa sababu, tofauti kabisa na Imani maarufu, kwamba hukumu ya mwisho sio kuungua kimwili katika moto wa milele.

Ila, itakuwa ni uzoefu wa maumivu ya kiakili na kihisia. Mabilioni ya watu watakabiliana na uchaguzi wao wenyewe usio sahihi na hatimaye uchaguzi wa kukataa kumtumaini Mungu. Kwa utambuzi wa kupotea milele, majuto yao yatakuwa makubwa kupita kipimo. Pamoja na hatia na aibu kama mfano wa makaa ya moto juu ya vichwa vyao yakitokea ndani yao wenyewe, kiuhalisia itatosha kabisa kuangamiza maisha yao katika Mauti ya Pili.