Maranatha Media Kenya
Mwandishi Evelyn Ebens
Iliyochapishwa Mac 23, 2021
Vya kupakuliwa 662

Lugha Zingine

English Deutsch 國語

Wakati mamake Evelyn alijitolea kushiriki katika kanisa la Kimethodisti, matatizo yalianza nyumbani. Japo mateso yaliongezeka, Evelyn alimfuata mama yake kutoka Methodisti hadi Uadventista. Imani yake katika Mungu imekuzwa na misururu ya miujiza maishani mwake hadi kumpa mume aliyemfaa na wa kumsaidia akijihisi mnyonge.

Aliwafunza wanawe hadithi za Bibilia na angewachukua nje kuangalia mazingira na kuwafunza juu ya Mungu. Akiwa mchanga kanisani, alifunzwa kuwa utatu ni imani ya kikatoliki, naye pamoja na mumewe hawakuskia neno hili­utatu likitajwa kanisani kabla ya 1980.

Baada ya kipindi kirefu, ukweli aliofunza wanawe umejitokeza na umemsaidia kujua ukweli wa sasa.