Maranatha Media Kenya
Mwandishi Jay A. Schulberg
Iliyochapishwa Nov 29, 2019
imeandikwa Nov 29, 2019
Vya kupakuliwa 1,339

Matendo ya Mungu wetu mpole yanawasilisha ushahidi wa kutosha kuaminika kutoka kwenye Bibilia wa kumuondolea Mungu mashtaka kuwa yeye ni asiyejali, mwenye kuhukumu, mwenye kudhibiti, asiyehaki, mwenye hamaki, au katili. Kitabu kinadhihirisha kwamba Bibilia nzima, ikieleweka kwa usahihi, iko katika uiano na kifungu elezi: “Mungu ni Upendo” (1 Yohana 4:8)