Maranatha Media Kenya
Mwandishi Adrian Ebens
Iliyochapishwa Jan 11, 2022
180
Vya kupakuliwa 632

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu.
upendo huo ulikuwa mkubwa sana 
Hata akahatarisha hazina yake aliyoipenda sana
Mwana wake wa pekee
ili kutuokoa