Maranatha Media Kenya
Mwandishi Gary Hullquist
Iliyochapishwa Aug 09, 2023
Vya kupakuliwa 169

Lugha Zingine

Afrikaans български език ဗမာ Čeština English Deutsch 國語 Español ภาษาไทย

Biblia inasema nini kuhusu ghadhabu ya Mungu?

Je, ni kama yetu? Je, Mungu hukasirika? Anaghadhabika? 
Je, Mungu anawezaje kuwa Mungu mwenye upendo na bado kuwaangamiza waovu kwa moto?

Maswali hayo na mengine yanajibiwa kwa uangalifu katika kijitabu hiki kidogo kinachotoa picha yenye kuvutia ya Baba yetu wa mbinguni.

Yesu alikuja kutuonyesha Baba.  Yeye ni mfano kamili wa Mungu.  Ingia katika upendo na Muumba ambaye anampenda sana mwenye dhambi.