Maranatha Media Kenya
Mwandishi Ellen White
Iliyochapishwa Oct 27, 2021
49
Vya kupakuliwa 301

Lugha Zingine

Čeština English Español

Tunaunganisha vipi mauaji ya jumla ya taifa la Israeli kwa upanga dhidi ya maneno ya Kristo?

…Kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga

Sio tu wanaume, wanawake na watoto pia:

Kumb 2:34 Tukatwaa miji yake yote wakati huo, tukaharibu kabisa kila mji uliokuwa na watu, pamoja na wanawake na wadogo; tusimsaze hata mmoja:

Je Waisraeli walikuwa kwenye mtindo wa tabia ya Mungu kwa kweli? Mbona wakati mwingi walikuwa na hofu kwamba alikuwa amewaleta jangwani kuwaua? Je, giza kuu ambalo lilianguka juu ya Abrahamu lilihusiana kwa vyovyote vile na kuchukua kwake kwa upanga ili kuokoa mpwa wake na familia yake?

Mauaji ya Washekemu na Lawi na Simioni yanaathari yoyote kwa kiapo cha Israeli cha kuangamiza adui zao kabisa?

Unahitaji kujua? Kama haukutaka Kristo angeweza kuja kwako kama alivyofanya kwa Yakobo katika mashaka yake na kuonekana kama adui? Kwa kuamini tu kwa rehema ya Mungu ndio Yakobo alishinda kama Israeli wa kweli wa Mungu.