Mwandishi
Evelyn Ebens
Iliyochapishwa
Mac 23, 2021
Vya kupakuliwa
1,358
Jumla ya vilivyopakuliwa
1,358
Mateso ya Kristo
Tunapendekeza kusoma kitabu hiki kwanza ikiwa hujakisoma tayari.
Tunapendekeza kusoma kitabu hiki kwanza ikiwa hujakisoma tayari.
Mfariji
Tunapendekeza kitabu hiki kwa ajili ya usomaji zaidi.
Tunapendekeza kitabu hiki kwa ajili ya usomaji zaidi.
Wakati mamake Evelyn alijitolea kushiriki katika kanisa la Kimethodisti, matatizo yalianza nyumbani. Japo mateso yaliongezeka, Evelyn alimfuata mama yake kutoka Methodisti hadi Uadventista. Imani yake katika Mungu imekuzwa na misururu ya miujiza maishani mwake hadi kumpa mume aliyemfaa na wa kumsaidia akijihisi mnyonge.
Aliwafunza wanawe hadithi za Bibilia na angewachukua nje kuangalia mazingira na kuwafunza juu ya Mungu. Akiwa mchanga kanisani, alifunzwa kuwa utatu ni imani ya kikatoliki, naye pamoja na mumewe hawakuskia neno hiliutatu likitajwa kanisani kabla ya 1980.
Baada ya kipindi kirefu, ukweli aliofunza wanawe umejitokeza na umemsaidia kujua ukweli wa sasa.