Maranatha Media Kenya
Mwandishi Adrian Ebens
Iliyochapishwa Aug 18, 2021
36
Vya kupakuliwa 423

Lugha Zingine

عربى English Português

Baba yetu alikuwa hapo katika giza yao ya utenda dhambi, lakini Kristo aliteseka kama mmoja wetu.

Kwa hivyo, kila mwenye dhambi, kila anayekataa kuweka dhambi zake juu ya mbeba dhambi lazima apitie mchakato huu. Lazima wamwone Mungu akiwa kama kuhani, akiwa pia na tabia ya baba. Hivyo basi tuna Danieli sura ya saba ikituelezea namna Mungu anavyokaa tunapomkataa mbeba dhambi. Amini tu kwamba ilikuwa vyema kabisa. Huu ni mwangaza wa ajabu.Hii ni picha nzuri ya baba yetu wa Mbinguni.

Hadhira: Hii ni Ufunuo 18.

Hii ni ufunuo 18, hii ni historia ikitengenezwa hapa Jasper, Georgia. Kila kinachonipendeza katika ujumbe huu ni kwamba yote yanaeleweka vyema sasa. Hatimaye yote yamefunuka ili yaeleweke. Sasa yako wazi. Kinachobaki sasa ni sisi tuache kuhukumiana. Hili hatuwezi sisi wenyewe, hatuwezi kutengeneza hili bali tunaliweza. Ni katika kumwomba Mungu tu atupe Roho ambaye hahukumu wala kukashifu.