Maranatha Media Kenya
Mwandishi Adrian Ebens
Iliyochapishwa Nov 08, 2022
Vya kupakuliwa 155

Lugha Zingine

عربى English 國語 Español

Yesu anatuagiza kuwapenda maadui zatu na kuwatendea mema. Kwa upande mwingine, tunasoma kile ambacho Yoshua aliwaambia Waisraeli

Kisha ikawa hapo walipomletea Yoshua hao wafalme watano hapo nje, Yoshua akawaita wanaume wote wa Israeli, akawaambia majemadari wa watu wa vita waliokwenda naye, Haya, “jongeeni karibu, mweke nyayo za miguu yenu katika shingo za wafalme hawa.” Nao wakajongea karibu, wakatia nyayo zao katika shingo zao. Yoshua akawaambia, “msiche, wala msifadhaike; iweni hodari na wa mioyo ya ushujaa kwa kuwa ndivyo BWANA atakavyowafanyia adui zenu wote ambao mwapigana nao.” Yoshua 10:24-25

Je, tunasuluhishaje mgogoro huu kati ya Yesu na Yoshua wa namna gani ya kuwatendea maadui zetu?