Maranatha Media Kenya
Iliyochapishwa Aug 18, 2021
40
Vya kupakuliwa 454

Ukuhani wa Kristo ulianza pindi mwanadamu alipoasi. Alifanywa kuhani katika mtindo wa Melkizedeki. …Shetani alidhani kwamba Yesu alikuwa amemwachilia  mwanadamu, lakini nyota ya tumaini iling'aa gizani na katika injili ya mustakabali uliokuwa hafifu uliotoka pale edeni. Ms43b-1891 (July 4, 1891) aya. 5

Injili ya milele ni ya kutoka umilele na inakuja kwa ulimwengu wakati huu wa mwisho. Injili hii ilihubiriwa wawili pale Edeni, kwa  ulimwengu wakati wa Nuhu, injili ya utakatifu, na kwa uzao wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, na wana wa Israeli. Yesu aliwabeba kifuani mwake "wakati huu wote wa kale" na akawaokoa kupitia kwa maombezi ya milele ya damu yake kama mwanakondoo aliyechinjwa kutoka misingi ya dunia iwekwe.

Mchungaji Ebens anaeleza maagano haya katika kwanga wa ukuhani wa Melkizedeki ambao " ulianza pindi mwanadamu alipoasi."