Mwandishi
Adrian Ebens
Iliyochapishwa
Jan 11, 2022
Kurasa
48
Vya kupakuliwa
620
Jumla ya vilivyopakuliwa
620
Kwanini Adamu na Hawa waliogopa pale Mungu alipowaijia Bustanini? Nini kilibadilisha mtazamo wao juu ya Mungu
Kwanini Adamu alimwita mke wake jina la Hawa? Maana ya kigiriki inayoendana na jina hili ni Uzima au chanzo cha Uzima. Je, hili huashiria uhamisho wa utii?
Kwanini Mungu aliwafukuza kutoka nje ya Bustani? Kwanini hili lilihitajika?